Nahitaji ushauri

Jeremiah fofo

Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
36
Reaction score
11
Mimi ni mwanafunzi wa QT nategemea kufanya mtihan wa QT mwaka huu lakini napenda sana kusoma cmbnationa ya biashara lakin kwenye mtihani wetu wa taifa masomo hayo amna je? Naweza kuanza kusoma sasa hiv ili mwakan niyafanyie mtihan wa taifa NECTA na nakafanya vizuri nakama unavyojua sijawah kusoma elimu ya sekondari hata mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…