Wakuu nilibahatika kununua shamba ekari mbili bagamoyo eneo linaitwa Fukayosi, hali yangu ya kiuchumi imekuwa ngumu kidogo!!
Naomba ushauri kutoka kwenu ni jinsi gani naweza kutumia eneo hili kuliendeleza ili kukuza kipato changu tofauti na kuliuza!!
Natanguliza shukrani!!