Nahitaji ushauri

Nsele

Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
80
Reaction score
8
mimi ni member mpya wa jamii forum so wadua naombeni mnipokee
 
jamani ndo moja najiunga hapa jamii forum so naombeni miongozo nk.
 
Karibu Nsele.

Ushauri kutoka kwangu ni,

wee andika tu kila kitu kizuri ili watu wafaidike kutoka kwako.

Tunangoja post zako nzuri nzuri.
 
andika kila kitu unachokiona au kukisikia hakikisha tukio likitokea wewe unakuwa wa kwanza kutujulisha, tembea na kamera na laptop, usisahau modem kwa ajili ya mtandao kwani jamii forum wanapenda sana picha.
 
Kamwe usikurupuke kutoa habari. hakikisha kuwa ina ukweli ambao umejiridhisha wewe kwanza, pia picha muhimu
 
Karibuuu...jisikie upo nyumbani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mosi, Weka picha tukufahamu maana siku hizi tunaogopa kukaribisha watu humu kutokana na kujikuta tumekaribisha vibaka na mapepo ya kila aina.

Pili kama kweli unajipenda usishike kila kitu unachokutana nacho utaishia pabaya.

Mwisho kama wewe bado mwanafunzi ebu jiondoe mapema Jf hapakufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…