Nahitaji uzoefu wa kazi za kuendesha taxi na biashara ya car wash

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Naomba kuomba urafiki wa kudumu na wenye uzoefu wa kazi hizo za taxi kwa njia ya mtandao (Uber) na wenye kumiliki point za kuoshea pikipiki au magari. Mimi pia ni mbobezi kwenye biashara ya chips na wali uswahilini.

Naomba kubadilishana uzoefu, kujifunza na kuona fursa.

WhatsApp napatikana kupitia 0714 045 080.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…