D DENAMWE JF-Expert Member Joined Dec 29, 2019 Posts 862 Reaction score 871 Aug 29, 2022 #1 Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake.
Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Aug 29, 2022 #2 DENAMWE said: Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake. Click to expand... Upo mkoa gani?
DENAMWE said: Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake. Click to expand... Upo mkoa gani?
Hivi punde JF-Expert Member Joined Apr 1, 2017 Posts 2,554 Reaction score 8,587 Aug 30, 2022 #3 Kama upo Tanga tuwasiliane. Ni 60,000
Aggressive Plant Member Joined Apr 10, 2017 Posts 95 Reaction score 205 Sep 24, 2022 #4 Hivi punde said: Kama upo Tanga tuwasiliane. Ni 60,000 Click to expand... Mkuu check dm...