kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Ukihitaji timberland za mtumba nichekiWaungwana salam zenu kutoka kwangu.
Naomba kufahamishwa sehemu naweza pata viatu na mikanda ya ngozi ya mtumba nikiwa Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Karume nilishaenda sikufanikiwa hawana viatu wala mikanda classic
Ziko za kaki rangi tofauti nicheki 0688393663 nikutumie picha chache tufanye biashara
PoapoaZiko za kaki rangi tofauti nicheki 0688393663 nikutumie picha chache tufanye biashara
Sent using Jamii Forums mobile app