DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
PM yako haipatikani Mkuu no replyHello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.
Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.
ndio maana nimesema ina shida siwezi ku acces. yaan mtu akituma kitu siwezi kufungua ndio maana nikasema hapa watu watume hapa hapaPM yako haipatikani Mkuu no reply
ndio maana nimesema ina shida siwezi ku acces. yaan mtu akituma kitu siwezi kufungua ndio maana nikasema hapa watu watume hapa hapa
[/QUOT Reinstall app upya itakaa sawa,toka uje Mwanza na kuondoka cjapata ule mzigo mkuu tumepishana
Kama unaenda kilimanjaro nenda kanunue mnada wa memoria yaani viatu ni vizuri na ni very cheap utakuja kunishukuru badae. Mnada upo moshi mjini ulizia tu ukifika utaonyeshwaHello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.
Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.
Sawa BossKama unaenda kilimanjaro nenda kanunue mnada wa memoria yaani viatu ni vizuri na ni very cheap utakuja kunishukuru badae. Mnada upo moshi mjini ulizia tu ukifika utaonyeshwa
Pia naomba contact zako mkuuSawa Boss
Nicheki whatsap 0719039004Hello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.
Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.