hs billionaire
Member
- Apr 27, 2022
- 44
- 53
Mkuu vifaranga Sasso wanazalishwa na silver land wapo Iringa. Hivyo Kwa mikoa uliyotaja Kwa hakika sijui kama utapa vifaranga walio boraHabari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji
Na wasilisha.
N.B 1. kipaumbele watapewa wa mkoa wa Singida na Dodoma
2.ukiwa nao kuanzia 300 pia itafaa
Wanavyo ila kwa sasa wamebadilisha mfumo,ukinunua vifaranga ni lazima na chakula ununue hapoMkuu vifaranga Sasso wanazalishwa na silver land wapo Iringa. Hivyo Kwa mikoa uliyotaja Kwa hakika sijui kama utapa vifaranga walio bora
Acha nongwa, hata kama ni jina lako. Nimekuambia nina uhitaji wa idadi hio kama unao nipe namba tufanye biasharaVikipatikna unaanza kujamba jamba ooh ngoja niongee na bos kwanza,mara jiii! kumbe dalali. Jf inakuaga na dili kichaa