nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Kama upo Dar naomba uwasiliane na huyu ndugu, Melkizedeki 0653 100 126 yupo mburahatiHabari zenu?
Kwa yeyote anayeuza vifaranga vya bata aina tofauti tofauti pamoja na kuku tafadhali tuwasiliane. Pia naomba muuzaji ambaye hana limit na idadi niitakayo kwa maana sihitaji wengi.
Nipo Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu habari za leo umefanikiwa?Habari zenu?
Kwa yeyote anayeuza vifaranga vya bata aina tofauti tofauti pamoja na kuku tafadhali tuwasiliane. Pia naomba muuzaji ambaye hana limit na idadi niitakayo kwa maana sihitaji wengi.
Nipo Dar es Salaam.
Sent using Jamii Forums mobile app
AHSANTE NDUGU, NIMEMPATA MTU MWENYE VIFARANGA, SHUKRANI.Ndugu habari za leo umefanikiwa?
NIMEPATA KWA HUYOHUYO AMBAYE UMENIPA MAWASILANO YAKENdugu habari za leo umefanikiwa?
Ubarikiwe ndugu huyo jamaa anafuga kwakweli.NIMEPATA KWA HUYOHUYO AMBAYE UMENIPA MAWASILANO YAKE