Habari wajasiriamali wenzangu na wanajf kwa ujumla. Mimi niko Dodoma chamwino naomba kuuliza je Dodoma kuna mtu yeyote ambaye anajishughulisha na utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji? Nahitaji vifaranga wa kuku wa kienyeji, kama yupo anitaarifu na itakua vyema kama atataja na bei kwa kila kifaranga