Kwa wale wauzaji wa jumla tuwasiliane nataka nianze kufuga kuku wa kutotolesha mayai naanza na vifaranga 150 tu, na naombe ushaur namna ya kuanza kufanya biashara hii ya ufugaji wa kuku wa mayai wakisasa..nipo tayar kuanza hata mwez huu nikipata vifaranga..utanichek pm tuwasiliane km yeyote yupo tayar kuuza nipo dar maeneo ya mwananyamala.