hhsmakwato
Member
- Mar 19, 2015
- 97
- 51
Habari zenu Wanajamvi,
Kiukweli nimemaliza kutengeneza banda langu kwa ajili ya mfugo wa kuku wa nyama. Kwahivyo naomba kupewa maelekezo mazuri juu ya:-
1. Kifaranga mmoja ni sh ngapi ?
2. Wapi wanapatikana viranga wazuri.Mimi nipo Tanga.
3. Ni gharama gani nitazipata kwa kila kuku kwa kipindi chote cha mfugo.
Naomba kuwasilisha
mkuu sijaelewa hapo,vifaranga ni laki na 30 + laki 3 ya madawa na chakula au? = inakuwa laki 4 na 30.ndo ivo?