Nahitaji vifungashio vya maziwa ya mtindi

Hivi kwanza una design halafu unaenda azam wanatengeneza au hata design wataku designia wao
 
Vipi kuhusu bei zao?

God save us
wanatengeneza in bulky tuseme kuanzia pieces kama 50000 yani wanakwambia packages mfano zenye kuanzia kilo kadhaa ni kiasi flani na itakuwa na pices flani so hapo mpunga mnene
Ila nitakuuliza kwa Prof. Kabudi maana anapack maziwa na sidhani kama packages zake anazitengenezea azam
 
Utakuwa umenisaidia sana. Nasubiri kusikia toka kwako

God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…