Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Aug 1, 2019 #1 Habari zenu waungwana,nahitaji viwango vya madirisha vile vya size ndogo mfano kama sm 36 kwa sm 45 je nitavipata wapi kwa hapa Dar ama mwenye kuhusika na vioo ani pm tufanye biashara
Habari zenu waungwana,nahitaji viwango vya madirisha vile vya size ndogo mfano kama sm 36 kwa sm 45 je nitavipata wapi kwa hapa Dar ama mwenye kuhusika na vioo ani pm tufanye biashara