The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 1,119
- 2,441
Si uende Vingunguti pale jamboWapi naweza kupata viti vya plastic kwa bei ya jumla.. either kutoka kwa supplier au manufacturer.
Nataka kwa ajili ya kufanya biashara ya kukodisha vitu, kwenye shughuli mbali mbali.
We jamaa nlipitwa cm nimepoteza no yako mshikaji wangu.Si uende Vingunguti pale jambo
We jamaa nlipitwa cm nimepoteza no yako mshikaji wangu.
Sawa mdau asanteNakutumia pm, madili yenyewe muwe mnayaleta sasaaa. Sisi weyewe kuoa mishang-gaz tunapenda sema maisha tu