Registration card ya gari yako inahusika
Copy card ya gari na picha 3 za gari ya mbele,nyuma na chassis numberWadau ,
Naomba kujuzwa kama nahitaji kukata insurance ya gari nahitaji kuwa na document au kitu chochote mkononi kama card ya gari etc, au naweza tu kwenda kwa broker au insurance company na nikakata insurance ?
Natanguliza shukrani
Japo nimechelewa kukujibu ila nadhani inategemea ni bima ipi unakata, kama ni bima ndogo (Third party) unaenda na kopi ya kadi ya gari tu ila kama ni bima kubwa (Comprehensive) unaenda na gari kabisa ili likaguliwe ikiwa ni pamoja na kulipiga picha..Wadau ,
Naomba kujuzwa kama nahitaji kukata insurance ya gari nahitaji kuwa na document au kitu chochote mkononi kama card ya gari etc, au naweza tu kwenda kwa broker au insurance company na nikakata insurance ?
Natanguliza shukrani
Nenda na barua ya mjumbe wa nyumba 10Wadau ,