Salaam waheshimiwa, nahitaji vyombo vya ndani ( geto ).
Nahitaji kitanda, godoro, mtungi wa gesi, kikabati cha kizushi ( kibaharia) na vikoro koro vingine vya geto. Vitu ninavyotaka ni vya kijana anaeanzia maisha.
Nahitaji kunusuru ndoa yangu, hivyo nataka kuweka nyumba ndogo.
Mabaharia karibuni mnisaidie, Nipo Dar.