Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jun 2, 2021 #1 Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya kumwagilia kwa ajili ya kilimo. Karibuni
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya kumwagilia kwa ajili ya kilimo. Karibuni
M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,112 Jun 2, 2021 #2 Ongea na Mkuu wa Wilaya Kigamboni akupe contact ya wale jamaa wanaoiba mafuta.
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jun 2, 2021 Thread starter #3 Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya kumwagilia kwa ajili ya kilimo. Karibuni
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji wachimbaji wa visima virefu. Site: Mwavi Bagamoyo...kijiji kimoja kabla hujafika kiwangwa ukitokea Dar Urefu: 140m-150m Ofa: Milioni 5 Cash Note: mchimbaji lazima anihakikishe maji baridi yasio na chumvi hata chembe lengo ni kupata maji ya kumwagilia kwa ajili ya kilimo. Karibuni
Engineermjanja Member Joined Oct 29, 2020 Posts 80 Reaction score 113 Jun 2, 2021 #4 Mailman said: Ongea na Mkuu wa Wilaya Kigamboni akupe contact ya wale jamaa wanaoiba mafuta. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Mailman said: Ongea na Mkuu wa Wilaya Kigamboni akupe contact ya wale jamaa wanaoiba mafuta. Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
wansawa JF-Expert Member Joined Oct 11, 2020 Posts 857 Reaction score 858 Jun 2, 2021 #5 Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha.
Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha.
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jun 2, 2021 Thread starter #6 wansawa said: Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha. Click to expand... Ardhi juu kichanga huko chini sijui, kuhusu chumvi ni mtihani ila niliwasiliana na idara ya maji wakasema pakichimbwa mita 140 au zaidi basi maji 90% ni ya baridi
wansawa said: Inategemea na ardhi iko vipi, na kwabahati mbaya ukikuta kuna chumvi itakuwaje hasa eneo lako la kiwanja?. Mara nyingi huwa ni kubahatisha. Click to expand... Ardhi juu kichanga huko chini sijui, kuhusu chumvi ni mtihani ila niliwasiliana na idara ya maji wakasema pakichimbwa mita 140 au zaidi basi maji 90% ni ya baridi
George Barran JF-Expert Member Joined Sep 2, 2015 Posts 654 Reaction score 1,302 Jun 3, 2021 #7 Tuwasiliane kazi ianze 0784440627
CONTROLA JF-Expert Member Joined Sep 15, 2019 Posts 7,167 Reaction score 24,129 Nov 19, 2021 #8 Ulipata