Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo

Honst

New Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
4
Reaction score
9
Nahitaji wafanyakazi 2 wa kuuza duka la nguo Kariakoo, jinsia yoyote.

Umri kuanzia miaka 18<>30

Elimu form four na kuendelea.

Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu.

Awe na kitambulisho cha taifa . Kwa anayekidhi vigezo nitafute inbox.

Asanteni sana.
 
Wajinga kama wewe sijui kwanini mna-survive(in jpm voice)
 
Ashapatikana kaka
 
Naomba namba yako
 
Ninavigezo vyote naomba mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…