Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Mkuu kwa hali ya sasa na mambo yalivyo magumu ni hora huyu anayetoa kidogo ajira kuliko yule ambaye hakuna anachotoaWaajiri kama hawa tukiwaacha ndiyo wananyonya wenzao kisha wanajitajirisha tu.
Sasa laki 2 utaishi ishi vipi? Condition ukae kibaha utalipa kodi kiasi gani? Nauli ya kwenda na kurudi? Kula/maji/umeme/mawasiliano?
Ndio mkuu kwa mshahara wa elf sabini tu wakisikia Kuna mshahara wa laki mbili watapiga shangwe na watajiona walichelewa sanaWakurya Dar wanauza mayai
Mayai na ukwajuWakurya Dar wanauza mayai
Kuna jamaa angu analipwa elfu therathin kwa mweziNdio mkuu kwa mshahara wa elf sabini tu wakisikia Kuna mshahara wa laki mbili watapiga shangwe na watajiona walichelewa sana
Tuwaombee sana
Kawapokee huko kiwandani Kibaha.Wakurya wanauza mayai hapa mjini kwa mshahara wa elf sabini kwa mwezi, wakisikia Kuna mpaka mishahara ya laki mbili kwa mwezi watajiona walichelewa sana
Kiazi mmoja weweWewe huna shida wenye shida washapiga simu na kujibiwa maswali kama hayo
Kwani hizo ajira hakuna? Watu hawataki kwasababu ya maslahi finyu ,hizo kazi zipo kibao unalipwa elfu 6 kwa siku.Mkuu kwa hali ya sasa na mambo yalivyo magumu ni hora huyu anayetoa kidogo ajira kuliko yule ambaye hakuna anachotoa
Hivi hii 6000 kwa siku ndio unapata 200k daaah mbona sasa ni so sad ba bado ukajitegemee huko duuuhKwani hizo ajira hakuna? Watu hawataki kwasababu ya maslahi finyu ,hizo kazi zipo kibao unalipwa elfu 6 kwa siku.
Hiyo laki 2 mbona kama haijafika kima cha chini cha mshahara wa sekta binafsi?vigezo-wawe na namba ya nida ,
-wawe na sehemu ya kukaa kibaha
- wawe wanaume tu
-wawe waaminifu
- wawe tayari kwa kazi
-mshahara 200k kwa mwezi
-whatsap tu 0657392242
Ndiyo fikiria elfu 6 kwa siku utaitumia vipi ,navyojua huko kibaha lazima utumie boda boda kwenda sehemu ya kazi....Hivi hii 6000 kwa siku ndio unapata 200k daaah mbona sasa ni so sad ba bado ukajitegemee huko duuuh
Mmmh we jamaaa umefikilia deep sana aiseee.. duu hii ni kweli kazi ngumu plas lazima ule daaah 6000 ndogo mkuu kweli kabisa ..Ndiyo fikiria elfu 6 kwa siku utaitumia vipi ,navyojua huko kibaha lazima utumie boda boda kwenda sehemu ya kazi....
Na hiyo inaoenekana ni kazi ya kutumia nguvu means inatakiwa ule milo mitatu ya kushiba.
Mkuu nawajua hao waajiri ,wanapata faida kubwa sana ,wanachofanya wanatumia udhaifu wa ukosefu wa ajira kulipa vijana ujira mdogo.Mmmh we jamaaa umefikilia deep sana aiseee.. duu hii ni kweli kazi ngumu plas lazima ule daaah 6000 ndogo mkuu kweli kabisa ..
Hapa nimeona why umepingna na jamaaa hawa ni wanyonyaji
Na ndio maana hizi kazi si mara ya kwanza wanakuja kuomba watu humu..Mkuu nawajua hao waajiri ,wanapata faida kubwa sana ,wanachofanya wanatumia udhaifu wa ukosefu wa ajira kulipa vijana ujira mdogo.
Hawezi kupata watu wa kufanya ,akipata mtu atafanya mwezi mmoja wa kujibana atimize lengo lake asepe.
NI mtu anayeenda ni yule amekwama kabisa kwahiyo akienda anahakikisha anajibana kweli kweli apokee hiyo hela apate msingi wa kwenda kujifanyia umachinga mjini.Na ndio maana hizi kazi si mara ya kwanza wanakuja kuomba watu humu..
Unakuta mtu anasema anaenda kukomaa mwezi mmoja tu amalize asepe