Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Kama ni hvo mkuu naomba niangalizie nafasi ka naweza kupata aiseeee nakuhakikishia tafanya kazi kwa bidii
 
Mmmh we jamaaa umefikilia deep sana aiseee.. duu hii ni kweli kazi ngumu plas lazima ule daaah 6000 ndogo mkuu kweli kabisa ..

Hapa nimeona why umepingna na jamaaa hawa ni wanyonyaji
Siyo wanyonyaji Bali ni matapeli
 
Ubalikiwe sana ndugu yangu
 
Baada ya muda Watanganyika nao watadai Wanyasa wamekuwa wengi wanachukua kazi zao kwa kuchagua ajira kama Wazanzibari..
 
vigezo-wawe na namba ya nida ,
-wawe na sehemu ya kukaa kibaha
- wawe wanaume tu
-wawe waaminifu
- wawe tayari kwa kazi
-mshahara 200k kwa mwezi
-whatsap tu 0657392242
Kachukue ndugu zako mkoani uwapangishe chumba wafanye izo kazi ww ni dalali wa wafanyakazi yan mtu umsoteshe kwa malipo ya 7000 kwa siku iv kichwani kuna matope
 
Ubalikiwe sana ndugu yangu
Kachukue ndugu zako mkoani uwapangishe chumba wafanye izo kazi ww ni dalali wa wafanyakazi yan mtu umsoteshe kwa malipo ya 7000 kwa siku iv kichwani kuna matope
mimi na wewe nataka tuonane napia kama unaelimu nakupa kazi mimi mwenyewe njo inbox
ntakupambania
 
mimi na wewe nataka tuonane napia kama unaelimu nakupa kazi mimi mwenyewe njo inbox
ntakupambania
nataka nikuthibitishie kuwa mimi na wewe nani kichwani kuna matope
 
humu jf kuna watu wa aina mbalimbali wenye kipato tofauti na wenye shida mbalimbali kwaio usiwe mtu wa kuongea tu fikiria kwanza unachokiongea jitaid tuonane
 
Kwa kutafuta wafanyakazi 50 kwa mkupuo bila shaka hiki ni kiwanda kipya kabisa,na matajiri wanapima upepo kabla ya kuanza kumwaga fedha za kutosha,twendeni mwazo huwa mgumu sana lakini kikichanganya kwa bidii yenu watumishi,hakika nyote mtafaidika sana na KUFURAHIA
 
Huyo ni dalali hana lolote utakubali kufanya kazi per day 7000
 
mimi na wewe nataka tuonane napia kama unaelimu nakupa kazi mimi mwenyewe njo inbox
ntakupambania
Huna hela ya kuniajili ww sifanyi kazi boss muhindi nipo uwarabuni huku wahindi huku ndo madobi wetu wanatufulia nguo zetu huko bongo ndo mnawatemekea
 
vigezo-wawe na namba ya nida ,
-wawe na sehemu ya kukaa kibaha
- wawe wanaume tu
-wawe waaminifu
- wawe tayari kwa kazi
-mshahara 200k kwa mwezi
-whatsap tu 0657392242
Mnatunyanyapaa wanawake🙆‍♂️
 
Laki 2 tafuta ndugu zako wafanye.
Hivi nyinyi watu wa design hii mna watoto kweli? Mbn kila siku mnakuwa kama watoto, umri ushaenda humu mitandaoni hakuna haja ya kutafuta sifa za kijinga na za kishamba namna hiyo.
Mtu ameleta fursa, kosa lake liko wapi, kama wewe unaona haifai si uache wengine huenda inawafaa, acheni kuwa wajinga wapumbavu nyie, mnadhani mnachekesha kumbe ni ujinga wa kitoto, alafu wewe ni mtu mzima wala upendezi.
 
Haya ndiyo mawazo yanayotakiwa na sio kudhihaki kwa maneno ya shombo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…