Nahitaji Wafanyakazi 50 Kiwandani- Kibaha

Nguvu si ndio CV zenyewe sasa ๐Ÿ˜‚
Kuna kazi za mashamba ya miwa zilitangazwa mwaka huu mojawapo ya marupurupu ni uji asubuhi kabla ya kwenda shambani.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Eti?!
Ko uji ndo marupurupu..!!
 
Bhebhe otomanaghi ole na tuja ๐Ÿ˜…
Genza nanzukayo ๐Ÿ˜น
Ayuke ayu, tutende deshi ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธโ€โžก๏ธ
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Eti?!
Ko uji ndo marupurupu..!!
Mojawapo ni hilo. Pamoja na usafiri kwenda na kurudi shambani, na kambi ya kuishi. Vyote hivyo huwa vinakuwa mazingira duni.
 
Yale yale ya ma house girls na ma house boys..
Mambo yamebadilika, kama waona kazi rahisi fanya mwenyewe!
Hao wa kazi ngumu nawo wanataka maisha bora, maendeleo, kutunza familia zao na wazazi. Walipe kima cha chini kilichotangazwa na marupu rupu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ