Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
nitumie cvMkuu naomba Kazi Nina shahada ya Maendeleo ya jamii nipo flexible Nina basic computer skilll Nina communication skills lakini pia Nina Management skills naweza kuendesha gari na bajaj.. kwasasa nipo mkoani tabora ila naweza kuja popote kwa gharama zangu.
Ahsante
Sawa mkuu angalia DM yakonitumie cv
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu yupo speed sana Hana time. Inabidi tujichambue wenyewe na watani zangu wahasibu.
Kila la kheriNahitaji wahasibu 5 wanaokaa Dar Es Salaam
Nahitaji 4 na wewe na uzoefu wa miaka 3
Mshahara ni 3 ni 700k kabla ya makato
Mmoja awe na uzoefu wa miaka pamoja CPA.
Mshahara ni 1.5m kabla ya makato
Hii sasa ndio kazi halisi, Hazina kona konaHizi kazi mtu anataja na mshahara hapo hapo zina walakini....
Haya kila la kheri masta
Hakuna kitu hapo .... mwishowe utakuja kubebeshwa mabeseni, alafu mshahara commissionHii sasa ndio kazi halisi, Hazina kona kona
CpA unipe laki 3 ? Upo serious ? Ama umekatwa kichwa ? Hata nikienda site kujenga (saidia fundi)kwa siku nakunja 15-20, hapo sina ujuzi... mafundi wanakula 40-60, unakatwa !!!!! Mna utani nyie ......wewe kama una CPA njoo dm
usiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongoCpA unipe laki 3 ? Upo serious ? Ama umekatwa kichwa ? Hata nikienda site kujenga (saidia fundi)kwa siku nakunja 15-20, hapo sina ujuzi... mafundi wanakula 40-60, unakatwa !!!!! Mna utani nyie ......
wewe kama unavyeti niambie nakupa connection bila chenga usiongee kama mtoto wa miaka kumi au umekariri watu wote humu ni matapeli ??? lete vyeti nikupe mchongo kulingana na elimu yakousiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongo
mtu analipwa kulingana na elimu sasa hauna elimu unataka upewe milion kichwani upo sawa
CpA laki 3 sio 😁 .....usiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongo
mtu analipwa kulingana na elimu sasa hauna elimu unataka upewe milion kichwani upo sawa