Goodvision
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 858
- 467
Heshima kwenu wadau wa JF,
Ni wiki ya tano sasa tangu tufungue chuo hapa Mwenge University College of Education Moshi na masomo yanaendelea kama kawaida.
Wadau,nahitaji mtu wa kubebana nae(kushare room) maeneo ya nje karibu na chuo.
kwa maelezo zaidi naomba uni PM ili tuwasiliane.
With regards.