Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 819
- 756
Habari wasomi!
Kama title linavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu watatu wa PCM ila wale wanawake ambao wanaishi DAR. Kuna project nataka nianzishe so nahitaji TEAM PCM.
Hakikisha kuna somo moja wapo uko vizuri sana ili kila mwalimu adili na somo lake.
Unaweza comment below uko vizuri kwenye somo gani zaidi ili kila teacher adili na somo lake na kuongeza speed zaidi kwenye ufanisi.
TARGET LEVEL: A-LEVEL & O-LEVEL (PCM).
Whatsapp: 0652247221