Nahitaji wanunuzi wa maziwa mazuri ya mtindi kwa jumla(kuanzia lita 5)

Nahitaji wanunuzi wa maziwa mazuri ya mtindi kwa jumla(kuanzia lita 5)

mj maziwa jumla

New Member
Joined
Apr 18, 2023
Posts
1
Reaction score
4
MJ maziwa jumla tuna uzoefu wa miaka mingi wa kuzalisha maziwa na kutengeneza mtindi bora kabisa, kwa walioona na kunywa maziwa yetu watakubaliana na mimi

Tunazalisha na kutengeneza mtindi zaidi ya lita elfu 1000 kwa siku hivo kwa wakazi wa Dar es Salaam ni wakati wa kunywa maziwa yaliyoandaliwa na kuhifadhiwa vizuri

Lita 1 maziwa mtindi ni Tsh 1700 (kuanzia lita 5)

Tunapatikana Ubungo Maji(kijazi exchange) tuna store ndogo ya maziwa

Kutokana na wingi wa madalali hakikisha unanipigia kwa namba 0785567040
 
Hii imekaa vzr mnooo. Nitakuunga mkono kiongozi. Piga kazi
 
Back
Top Bottom