Nahitaji wasanii Wawili niwatungie Mashairi Bure.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Ni kipaji ambacho ninacho ila nahisi kama nikikaa bila kukifanyia kazi basi kitakufa.

Kama kuna kijana au msanii yeyote ambaye anajua kuimba na yuko tayari nimwandikie mashairi basi nitamwandikia bure nahitaji wawili tu ili wajue kile kilichopo ndani yangu.

Kama utakuwa tayari kwa ajili ya mashairi ni-Pm tuongee na nitafanya bure kwa watu wawili na pia nitaleta mrejesho wa tungo ambazo nitawatungia.

Pia nitawasaidia wasanii hao wawili kupata interview kwenye vituo mbalimbali vya redio.

Karibuni sana.
 
[emoji343] [emoji343] [emoji342] [emoji342] [emoji344] [emoji344] [emoji345] [emoji345] [emoji327] [emoji327] [emoji328] [emoji328] [emoji331] [emoji331] [emoji332] [emoji333]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…