Nahitaji Watunzi wazuri wa hadithi

el diablo

Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
40
Reaction score
20
Mimi naitwa Emmanuel Vicent Natokea Mwanza mimi ni video director natafuta watu ambao wapo vizuri kwenye kuandaa story hasa za kutengenezea filamu.

Kama story kali tunaweza fanya biashara ila kama story itakua ya kawaida tunashoot na kukuweka kwenye credit kama mtunzi na muandishi wa story

Kama unastory kali Nicheck kwa namba...

Normal calls : 0754581425
Whatsapp : 0658318153
 
Umeandaa fungu la kutosha?,Siyo mtu analeta stori yake mnafanya kazi zile za Kiswahili swahili!
 
Kama story kali tunaweza fanya biashara ila kama story itakua ya kawaida tunashoot na kukuweka kwenye credit kama mtunzi na muandishi wa story
Hii ulikua huna haja ya kuiandika hapa maana hujafanya Kali ni ipi na sio Kali ni ipi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…