Nahitaji wazo la biashara kwa mtaji wa laki 5 nipo Kongowe, Pwani

stay tuned
wataalamu wa biashara wanakuja
 
Kongowe jioni panachangamka sana pako kama mbande, unaweza kuuza kuku jioni unakaanga unauza mapande kidali, paja, miguu, firigisi, utumbo ukiweza kuweka na tuviazi kidogo kichangamsha meza, be local unajua wabongo wakiona sehemu imepambwa sana wanaogopa kuja, hapo unatafuta meza na mwavuli tu huna haja ya fremu
 
hapana sijawahi fanya biashara yoyote hapo kabla.
hapo ulipo angalia kitu ambacho hakipatikani au unakipata kwa shida fursa tayari lakini pia mwanzo ni mgumu ukipata wazo la biashara usiweke pesa yote tumia nusu au robo ya mtaji ulionao vinginevyo uwe umefanya utafiti wa kutosha.
 
1. Uza nyama zakuku
Tafuta place unakaanga nakuuza hapo muda wamjini
2. Fungua genge ndogo lanyanya, mboga zamajan, vitunguu mahitaji youpishi
3. Kua winga waviatu nabaadhi tango zake
4. Nunua mashine yabisi uanze kuuza utachanganya naubuyu mdogo mdogo but eneo liliochangamka
5.....Wazo lako ndio litakua bora zaidi
 
kuuza kwa frame itapendeza zaidi au ntakuwa napuyanga?
Kama ndio unaanza ni vyema ukatembeza ili kuwafikia wateja kwa haraka then unawa directisha kwenye ofisi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…