Una access ya mtaji wa aina yoyote au ni wewe na laptop yako tu?Wakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa.
NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.
Tengeneza system itakayo wasaidia watu kutuma na kupokea pesa bila makato ya kila siku. Bali walipe ada za huduma kwa mwaka mara moja.
Kama una mtaji njoo inbox nikupe project ya IT upige helaWakuu Nina skill za software and Application development, ebo nipeni wazo ambalo likifamyiwa kazi kwenye IT linaweza solve mambo mengi kwenye jamiu na litaleta faida kubwa.
NB: Liwe wazo litakalo ishu, Yani likifamyiwa kazi linaweza dumu Kwa muda mlefu sana.kama
Angalia mfano kwenye crypto currency, nani ametoa kibali cha hiyo system kutumika Tanzania.Labda aitumie nyumbani kwake, tozo na kodi zitalipwa na nani??
Vibali ya ku run iyo system vyote vinatolewa na BoT
Emu acha hizo bhana, unajua ni nn alichokimaanisha, emu watanzania tuache kujifanya wajuzi wa mambo na hatuhitaji msaada isipokuwa akili zetu.Mkuu, kwa knowledge unazosema unazo, inasikitisha sana kuona unahangaika hivi, na inawakatisha moyo vijana wenzako ambao Wana platforms na hawana knowledge unayosema unayo.
Binafsi ninachoweza kukushauli ni kwamba utilize kichwa.
Ni ngumu kutoboaKuna idea mkuu ya kutafuta kazi
Unaunda App then MTU yeyote anajiunga anayetoa kibarua na anayetafuta kibarua ,hiyo App iwe ya kutafuta part time job.
Mfano Mimi nina kazi yangu ya kuandaa data ambayo ntahitaji MTU aje aifanye withing a single day , moja kwa moja ntaingia katika App yako na kushare hiyo taarifa.
Faida
Watu watapata Sana kazi za part time na kipato
The founder ah owner wa App atakuwa anapata Malipo 5% kwa MTU anayelipwa baada ya kazi.
Serikali itafaidika zaidi na rasilimali watu.
Ni ngumu kutoboa
Nani kasema?Ni ngumu kutoboa
Ingia fieldNani kasema?