Nahitaji wheel chair used

Nahitaji wheel chair used

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Habari za saizi wana jf?

Samahani, nimefikwa na tatizo mwenzenu nahitaji msaada. Mama yangu ni mgonjwa yupo kitandani hasimami wala hatembei.

Nimekuja kwenu wadau mnisaidie kwa yeyote mwenye wheel chair used anisaidie niweze kumuuguzia mama yangu kwa kumtoa nje ili apate jua japo kidogo.

Budget yangu ni 150k yani laki na nusu.
Location Mbeya, mbalizi
 
Polen man! Ngoja tuwasikizie raia malaika akosekani
 
Pole sana!

Hauko peke yako.

Lakini nashukuru uthubutu wako wa kuandika umenifungua akili pia.

Tumwombee afya njema
 
Back
Top Bottom