Kwani Rweye kasema hataki mwela?Wewe kubali tu hachagui rangi bana?daah tatizo mimi ni mwela
Wewe mbona umeficha sana details zako?
Ni kweli sijaziweka lakini niko tayari kukupa endapo utazihitaji personally...kama unaweza kuni-pm kama nilivyosema basi ntaweka mambo hadharani,kuhusu email:deogratiasrutta@yahoo.com
karibuni sana.
Ni kweli sijaziweka lakini niko tayari kukupa endapo utazihitaji personally...kama unaweza kuni-pm kama nilivyosema basi ntaweka mambo hadharani,kuhusu email:deogratiasrutta@yahoo.com
karibuni sana.
Ni mwanaume rijali mwenye umri wa kuwa na mwenza ambaye pamoja twaweza kutengeneza maisha ya mme na mke japo watoto ni majaliwa
Ninamtafuta mwanadada ila asiwe mwela a.k.a askari,awe na umri 21-25,elimu ya cheti-diploma katika kozi yoyote akiwa na kazi ni nzuri zaidi,mwenye busara,mrefu wa saizi na zaidi awe ni mwaminifu na mcha Mungu...mengine tutasettle taratibu
Nawakaribisha wadada walio tayari ili tuweze kuwasiliana kwa kina,naomba uni-pm nami ntarespond pasipo shaka
NB;Niko siriazi katika jambo hili jamani.
in red...
mkuu mbona unawabagua wenye shahada?