DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Upanga mkuu, istoreWakuu, habari zenu?
Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.
Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
Upanga mkuu, istore
Mcheck bwana mocka mkuuJamaa watanichaji pesa ndefu wakati issue yenyewe ni kureplace tu hiyo card. Ningeweza kupata hata used WIFI card, mimi mwenyewe ningeweza kufanya.
Yuko pale?Mcheck bwana mocka mkuu
Wakuu, habari zenu?
Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.
Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
Mkuu umetishaaa. Na utundu wangu wote wa mambo ya technology, sikujua uwepo wa uchawi huu.Nunua WIFI adapter ya usb mchezo umeisha hapo,na yenyewe haivuki elfu 15.
Mkuu umetishaaa. Na utundu wangu wote wa mambo ya technology, sikujua uwepo wa uchawi huu.
Naipata wapi hii ndumba?
Nadhani hii ndiyo itakuwa suluhisho langu. Big up sana kwa tip hii.Ingia duka lolote la vifaa vya computer utazipata, ni ndogo kama flash disk. Lb- link ama D- link ni nzuri zaidi. Ukichomeka tu inafanya kazi unaconnect kawaida.