mahenda255
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 513
- 691
Agenti ndo anakufanyia process zote?Kutoa bandari utamlipa agent 250,000/-
Nimeona hii ipo ndani ya bajeti yanguvuta hiyo mkuu gari kuwa nashida inategemea na mkono wako
ShukraniKama haujawahi, tumia mtu aliewahi, wanapewaga special discount.
Magari yote sikuhizi hayana shida, untill ukishakua nalo.
Yes ya kukwamua gari pale bandari... Na maagant ni wengi sana...Agenti ndo anakufanyia process zote?