Sitachoka
JF-Expert Member
- Nov 17, 2011
- 3,030
- 1,306
(3) Muundo, madaraka na mambo
mengine ya kiutendaji yahusuyo Serikali
yaTanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar yataainishwa katika Katiba za
Washirika wa Muungano.
Ina maana hizi Serikali za Tanzania Bara na
ya Mapinduzi ya Zanzibar, zitakavyoanza
mchakato wake wa miundo , madaraka na
mambo mengine ya kiutendaji nje ya
Muungano, hapa ndio MVUTANO mkubwa
kweli utatokea kwenye maswala ya natural
resources, utawala wa ndani na wa
Shirikisho, and ndio next step KUVUNJIKA
kwa Muungano.
Thinking Aloud: Hapa kuweka Marais 3, ni
kukaribisha mivutano ! Je itakubalika kuwa
Rais wa Zanzibar awe merely a Governor of
State ? Na vilevile Rais wa Tanzania Bara
awe merely a Governor of State on
Mainland ? Ikubalike pia kuwa ANY
inuendos to break the UNION is a treason
and severely punishable ?
Je, matatizo ya leo ya serikali 2
yatataluliwaje na yale ya serikali 3 ? Kuna
nini Serikali 2 zimeshindwa eti leo 3
itaweza ?
Kwa upande wangu, serikali 2 imeshindwa
kuvunja muungano na serikali 3
itafanikiwa kwa hilo kwa urahisi kabisa !
Nikiendelea kusoma hii rasimu, comments
zangu as I read .... see below:
We state that:
Bunge
kumshtaki
Rais
84.-(1) Bunge linaweza kupitisha azimio la
kumuondoa Rais
madarakani endapo itatolewa hoja ya
kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya Ibara hii.
and then
Kuundwa kwa Baraza la Mawaziri 92.-(4)
Bunge na Mahakama hazitakuwa na uwezo
wa kisheria kuchunguza kama ushauri
wowote au ushauri wa aina gani ulitolewa
na Baraza la Mawaziri kwa Rais.
My question is: How can the BUNGE do its
work effectively if it has no legal basis to
scrutinize what has been given as advice
by the cabinet to the President of the day ?
Are we maintaining the Powerful
Presidency King in this 21st century with
Tanzania having a good number of
educated population ? It is too risky !
My suggestion is better to make it stringent
such that the BUNGE cannot go down this
line without thorough investigation and
where the evidence is overwhelmingly
convincing, then surely it needs to have the
legal basis to scrutinize and the same
applies to the Courts. This is the balance of
POWER that must be addressed by this new
constitution.
Uteuzi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri
93.-(1) Kutakuwa na Mawaziri na Naibu
Mawaziri wa Serikali ya
Jamhuri ya Muungano watakaoteuliwa na
Rais kwa kushauriana na Makamu
wa Rais na baadaye kuthibitishwa na
Bunge.
Hapa tuseme kabisa ni Bunge LIPI
litathibitisha . Assumption here is Bunge la
Muungano, ila these kinds of statements
needs to be explicitly stated!
Wajibu wa kulinda Muungano 66.-(1) Bila
ya kuathiri wajibu wa kila raia kwa mujibu
wa Katiba hii, viongozi wakuu wenye
mamlaka ya utendaji katika Jamhuri
ya Muungano waliotajwa katika Ibara
ndogo ya (3) watawajibika, kila mmoja wao
katika kutekeleza madaraka waliyopewa
kwa mujibu wa Katiba hii au Katiba za
Washirika wa Muungano kuhakikisha kuwa
analinda, kuimarisha na kudumisha
Muungano.
Hapa pia ni mlango mwingine to break the
UNION as it creates ambiguity when the
following is added "au Katiba za Washirika
wa Muungano kuhakikisha kuwa
analinda,"
Other Loop Holes:
Mamlaka ya Washirika wa Muungano
62.-(1) Kila Mshirika wa Muungano atakuwa
na mamlaka na haki zote juu ya mambo
yote yasiyo ya Muungano, na katika
utekelezaji wa mamlaka hayo, kila Mshirika
wa Muungano atazingatia misingi ya
ushirikiano na mshirika mwingine kwa
kuzingatia haki na usawakwa ajili ya
ustawi ulio bora
kwa wananchi wa pande zote mbili za
Jamhuri ya Muungano.
My comments: [This is good, this is fine]
(2) Bila ya kuathiri mipaka iliyowekwa na
Katiba hii, kila Mshirika wa Muungano
atakuwa na uwezo na uhuru wa kuanzisha
mahusiano au ushirikiano na jumuiya au
taasisi yoyote ya kikanda au kimataifa kwa
mambo yaliyo chini ya mamlaka yake kwa
mujibu wa Katiba ya Mshirika wa
Muungano.
My comments: [This is a serious loop hole !
If all external relation issues are a matter
for union, then why allowing this to this
extent - note that words used carefully... My
suggestion will be any matters that crosses
the border of the URT should be UNION
matters and into the Ministry of Foreign
Affairs, period]
(3) Mshirika wa Muungano anaweza, wakati
wa kutekeleza majukumu yake chini ya
Ibara ndogo ya (2), kuomba mashirikiano
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Muungano
kwa ajili ya kufanikisha mahusiano na
jumuiya au taasisi ya kimataifa au kikanda,
na Serikali ya Jamhuri Muungano inaweza
kutoa ushirikiano kwa mshirika huyo kwa
namna itakavyohitajika.
My comments: [This is good, but it needs to
states explicitly that the Union Government
may reject such propositions and that will
be final. As much as it may support, it may
reject as it sees fit and within good
reasons]
Mamlaka ya Serikali ya Muungano
59.-(1) Serikali ya Jamhuri ya Muungano
itakuwa na mamlaka ya utekelezaji kwa
mambo yote yaliyoorodheshwa kuwa
Mambo ya Muungano, na wakati
inapotekeleza majukumu yake, itazingatia
mamlaka yake iliyopewa chini ya Katiba hii.
(2)Utekelezaji wa majukumu ya Serikali
utafanywa kwa namna na kwa misingi
iliyowekwa na Katiba hii au sheria
iliyotungwa na Bunge.
(3) Bila ya kuathiri au kukiuka masharti ya
Ibara hii, Serikali ya Jamhuri ya Muungano,
kwa makubaliano na masharti maalum
baina yake na Serikali ya Zanzibar au
Serikali ya Tanzania Bara, inaweza
kutekeleza jambo lolote lililo chini ya
mamlaka ya Serikali ya Zanzibar au Serikali
ya Tanzania Bara kwa mujibu wa masharti
ya makubaliano hayo.
[Notice the words "kwa makubaliano na
masharti maalum" - this implies it is VERY
possible to have a lame duck UNION where
there are no makubaliano on matters that
may arise with ambiguity or somehow
forgotten on the union matters or
anything. The Union will have no much
power or say over its two subscribers
subscribers. I see the notion of delegating
powers but in the context of 3 presidents,
this is a loophole for more appetite to
break the union]
And what is this:
Bunge la Jamhuri ya Muungano
(4) Katika kila Jimbo la Uchaguzi kutakuwa
na nafasi mbili za ubunge, moja kwa ajili ya
mwanamke na moja kwa ajili ya
mwanamme.
This clause contradicts with the very spirit
of "binadamu wote ni sawa" as stated
under "Marufuku
kuhusu ubaguzi"
24.-(1) Watu wote ni sawa mbele ya sheria
na wanayo haki ya kulindwa na kupata
haki sawa mbele ya sheria.
(2) Ni marufuku kwa mtu yeyote
kubaguliwa na mtu, mamlaka ya nchi au
mamlaka yoyote inayotekeleza madaraka
yake chini ya sheria yoyote au katika
kutekeleza kazi au shughuli yoyote ya
mamlaka ya nchi.
(3) Ni marufuku kwa sheria yoyote
iliyotungwa na mamlaka yoyote katika
Jamhuri ya Muungano kuweka sharti lolote
ambalo ni la ubaguzi ama wa dhahiri au
kwa taathira yake.
Are we now stating that we will have
wabunge kutetea mambo ya wanawake
and wengine mambo ya wanaume ? I had
thought the country has passed that level
and we surely need to base matters on
merit and not sex whether it is a position
for male or female . This is violation of the
principles of equality and positive
affirmation gone MAD ! With this mindset,
one day we may end up with Female
Cabinet on one side and Male on another !
We need to step out of this and emphasize
meritocracy and surely this needs not be in
the contitution in the sense of sexes!
Dissappointingly, I notice the words
UJAMAA completely dropped, but I remain
hopeful with more use of the word UMOJA,
and USHIRIKIANO.
I would suggest kwenye TUNU za Taifa we
add KUJITEGEMEA and also MAENDELEO. This
is VERY important. See below:
5. Jamhuri ya Muungano itaenzi na
kuzingatia Tunu za Taifanzifuatazo:
(a) utu;
(b) uzalendo;
(c) uadilifu;
(d) umoja;
(e) uwazi;
(f) uwajibikaji; na
(g) lugha ya Taifa.
Taifa tegemezi ni taifa la utumwa. Hapa
tuseme kabisa tunataka kuenzi kujitegemea
na maendeleo kama moja ya tunu za Taifa
na vizazi vipya vielewe hivyo!
Wakati tunaongelea kupeleka maamuzi na
madara kwa wananchi mikoani/wilayani/
vijijini na wakati huo huo kuweka mwanya
serikali zinazojenga muungano ziwe in
harmony na KATIBA, hapa tunaweka
KATIBA to overrule MILA zote zitakazo kuwa
kwa njia moja au nyingine hazikutajwa
hapa na uamuzi wa ofisa wa serikali kuwa
ndio mwisho ! Hadithi za Umasaini zinakuja
kichwani! Kipengele hiki kinaweza kuvunja
familia na mila na desturi nzuri tuu na
zenye sababu nzuri tuu kwa kutumia hiki
kigenzo:
(3) Sheria yoyote, mila, desturi au uamuzi
wowote wa chombo cha dola, ofisa wa
Serikali au mtu binafsi ni sharti ufuate na
kuendana na masharti yaliyomo kwenye
Katiba hii na kwamba, sheria, mila, desturi
au uamuzi wowote ambao hautawiana au
kwenda sambamba na masharti ya Katiba
hii utakuwa batili.
My suggestion: Ni bora kuonyesha kuwa
kuwe na juhudi na kujenga amani na
umoja na makubaliano ambapo mila na
KATIBA will be harmonous lakini sio straight
overule!
Hapa nasema SAFI KABISA:
Malengo Makuu
11.-(1) Lengo Kuu la Katiba hii ni kulinda,
kuimarisha na kudumisha udugu, amani,
umoja na utengamanowa wananchi wa
Jamhuri ya Muungano kwa kuzingatia
ustawi wa wananchi na kujenga
Taifa huru lenye demokrasia, utawala bora
na kujitegemea.
Naona hii draft katiba ndani kuna makundi
na inakuwa kama kuyasimika sasa instead
of reversing the negative traits being
avoided! Kuna mtu/watu, raia, mtoto/
watoto, wanawake, wazee, walemavu,
umma. Hawa sio BINADAMU kweli ?? Naona
tumesahau albino! This trend is OVERKILL
and I would suggest that all the bill of
rights are addressed as BINADAMU as
surely these do apply to all as human
beings, and where relevant laws can apply
to particular situations as it should!
JUSTICE: Usimamizi wa haki za binadamu
Hapa ningeshauri ufundi utumike kuweza
kuaddress anomnally ya JUSTICE DELAYED is
JUSTICE DENIED! Pamoja na kuwa hii
inaweza kuwa operational, lakini sheria kuu
inabidi itoe dira kuhusu speed of decision
making and serving justice !
Katika sifa za Mgombea Rais,(h) sera zake
au sera za chama chake si za mrengo wa
kuligawa
Taifa kwa misingi ya ukabila, udini, rangi
au jinsia; - hapa pia iseme wazi kuwa
mrengo wa kuligawa taifa kwa misingi ya
eneo la Muungano analotoka au njia
yoyoye ile.
Hapa (f) anayo angalau shahada ya kwanza
ya chuo kikuu kinachotambuliwa kwa
mujibu wa sheria za nchi;
Naona kama KATIBA inataka kuamini kuwa
degrees ndio uelewa na sio sahihi HATA
kidogo na wote tunajua hilo. Ningeshauri
hii sifa ya degree itolewe na neno "or
equivalent" liwepo au just the wisdom
needed which can be from someone who
never attended the University ! Swala sio
VYETI swala ni Performance ! Let us not get
bogged down on this ! Mifano HAI iko kila
kona ya DUNIA hii ! This applies to all
political roles : Waziri, Naibu Waziri etc
Kwenye (d) Masharti Mahsusi kuhusu Rais -
FULLY SUPPORT this and crucial in
protecting the URT.
Waziri / Naibu Waziri - kutokuwa Wabunge
- this is excellent ! Fully support it and it
brings scrutiny and objectivity to the
balance !
(4) Kila Waziri atahudhuria vikao vya
Kamati za Bunge kila atakapohitajika na
kutoa maelezo au ufafanuzi wa suala lolote
linalohusu utendaji katika nafasi ya
madaraka yake. - Great !
Hapa inaonekana kuna Bunge la Jamhuri ya
Muungao (tuseme Senate?/)
Bunge la Tanzania Bara (House of
Representatives ?)
Baraza la Wawakilishi Zanzibar au Bunge la
Zanzibar (House of Representatives ?)
Ila tu kuwa mradi hayako ndani ya
Muungano, Bunge la Jamhuri halitaangalia
kabisa nini haya mawili yanafanya ? Au
ndio kazi ya Kamati ya Shirikisho ??
Pandora's box this is ...
Mmmm.... HERE is a CATCH - clever but when
the emotions within masses are raised
sufficiently... there is no catch ! This is an
EXIT door ! Hapa ndio pale tabiri za Baba
wa Taifa may come true - Uongozi wetu na
Hatima ya Tanzania! Wenye macho tuone
kabisaaa...
Utaratibu wa kubadilisha masharti
mahusus
112. Bunge halitaweza kufanya mabadiliko
ya Katiba kwa lengo la:
(a) kuongeza au kupunguza jambo lolote la
Muungano; na
(b) uwepo wa Jamhuri ya
Muungano, mpaka kwanza mabadiliko
hayo yaungwe mkono na wananchi wa
Washirika wa Muungano kwa Kura ya
Maoni itakayoendeshwa na kusimamiwa na
Tume Huru ya Uchaguzi ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa
sheria itakayotungwa na Bunge.
My suggestion the mother of all oaths
should be to protect and defend the United
Republic of Tanzania, period. This oath
needs to propagate all the way to the cell
level of any administration of any structure
taken!