Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa,nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Ally Samatta ameliandikia barua shirikisho la soka nchini (TFF)ya kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania.
Taarifa inaeleza kuwa TFF imeligomea jambo hilo huku wakihitaji baada ya michezo ya kufuzu fainali za kombe la dunia waketi wazungumze kuhusu jambo hilo.
Taarifa inaeleza kuwa TFF imeligomea jambo hilo huku wakihitaji baada ya michezo ya kufuzu fainali za kombe la dunia waketi wazungumze kuhusu jambo hilo.