Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mchezaji na nahodha wa timu ya Aston Villa iliyofanikiwa kupanda daraja baada ya kuifunga Derby County goli 2-1, Jack Grealish aeleza sababu za kuvaa viatu vilivyochakaa kwenye mchezo huo
Amesema "Baada ya kupata majeraha kwa muda na kurejea uwanjani nilivitumia vikiwa vipya kabisa, wakati huo nilipata kufunga magoli kadhaa na kutoa pasi kadhaa za magoli."
Ameongeza kuwa "Niliona hivi ni viatu vyangu vya bahati, hivyl nikaamua kuvihifadhi. Leo katika mchezo wa kupanda daraja tulihitaji bahati ili kushinda kwa ajili hiyo nikavivaa."
Aston Villa msimu ujao itakuwa ikicheza Ligi Kuu ya England. Jack ana kowango bora sana ila bado nawaza kama viatu hivyo vitamsaidia kuwa mchezaji bora au hata kuwa miongoni mwa wafungaji bora