Evans-Arsenal JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 868 Reaction score 1,385 May 28, 2017 #1 Leo nahodha wa club ya simba sports club mkude amekunusurika Kifo katika Ajali iliyotokea maeneo ya moro, wakati wakitoka Dodoma baada ya kumaliza mechi yao ya jana dhidi ya Mbao Fc na kushinda ushindi wa magoli mawili dhidi ya moja la Mbao Fc.
Leo nahodha wa club ya simba sports club mkude amekunusurika Kifo katika Ajali iliyotokea maeneo ya moro, wakati wakitoka Dodoma baada ya kumaliza mechi yao ya jana dhidi ya Mbao Fc na kushinda ushindi wa magoli mawili dhidi ya moja la Mbao Fc.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 28, 2017 #2 Mungu mkubwa amemnusuru....Pole nyingi zimfikie
Evans-Arsenal JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 868 Reaction score 1,385 May 28, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Mungu mkubwa amemnusuru....Pole nyingi zimfikie Click to expand... Yap ni jambo la kushukuru kwelii
Joseverest said: Mungu mkubwa amemnusuru....Pole nyingi zimfikie Click to expand... Yap ni jambo la kushukuru kwelii
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 May 28, 2017 #4 Tanzania2016 said: Yap ni jambo la kushukuru kwelii Click to expand... kabisa mkuu
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,267 May 28, 2017 #5 Pole yake..!
Abbasfarudume JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 1,625 Reaction score 1,326 May 28, 2017 #6 Mwenyezi mungu akuweke, akunusuru na akupe Afya njema, na Maisha marefu Jonas mkude
CHE Raptino JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 1,027 Reaction score 1,068 May 28, 2017 #7 Kuna mmoja amepoteza maisha kwenye hiyo ajali, R. I. P kwake
A Alfan issa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 2,281 Reaction score 893 May 28, 2017 #8 Mngu mkubwa
Evans-Arsenal JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 868 Reaction score 1,385 May 28, 2017 Thread starter #9 Rip kamanda wa simba
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,339 May 29, 2017 #10 Pole captain! Ila kaswali kadogo tu ulikuwa unaenda wapi wakati wenzio bado wapo Dodoma? Au ulukua unawahi kusaini jangwani? Pole sana lakini
Pole captain! Ila kaswali kadogo tu ulikuwa unaenda wapi wakati wenzio bado wapo Dodoma? Au ulukua unawahi kusaini jangwani? Pole sana lakini