Nafikiri ni khatua kubwa kwake kuwa mjasiriamali sisi wa muda kidogo tumeshuhudia wachezaji wa tanzania jinsi walivyo dhalilika kuanzia almarhum mambosasa na adamu sabu haiingii akilini.Wapo wengine wanaishi maisha ya ajabu utawakuta leaders club wanasubiri kupiga mizinga kwenye bonanza.