Nahodha wa Taifa Star Mbwana Samatta anazidi kuipaisha Tanzania duniani

Nahodha wa Taifa Star Mbwana Samatta anazidi kuipaisha Tanzania duniani

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
samatta.jpg

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania amepewa heshima ya kuvaa jezi maalum kwenye mchezo wa leo wa ligi kuu ya Ubelgiji kati ya timu yake ya KRC Genk dhidi ya Club Brugge kutokana na kuwa kinawa wa mabao.
DrBXjAmX0AAYmuM.jpg
 
Akifanikiwa kuepeleka taifa stars AFCON hapo ndio tutasema kaipaisha Tanzania
Huko anaipaisha Genk na sio stars magoli anayofunga huko haina impact yoyote kwenye timu ya taifa
 
Akifanikiwa kuepeleka taifa stars AFCON hapo ndio tutasema kaipaisha Tanzania
Huko anaipaisha Genk na sio stars magoli anayofunga huko haina impact yoyote kwenye timu ya taifa
maujuzi anayoyapata Genk ndiyo msingi wa mafanikio yake Taifa Star
 
Back
Top Bottom