MamaBeata
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 325
- 112
Habari daktari. Mi nina mtoto mdogo wa miezi kadhaa. Sasa kutokana na mazingira kutoruhusu kuna siku tukiwa safari tulilala bila neti na mwanangu akapata upela maeneo yote alioumwa na mbu. Baada ya siku kadhaa ule upele ulikauka maisha yakaendelea. Hofu yangu ni kua mwanangu kaambukizwa malaria na wale mbu. Ingawa hana dalili zozote za kuumwa mfano homa lakini nahofu. Je naweza kumpa dawa ya malaria kama kinga?