S Salum Mlaki Member Joined Feb 20, 2015 Posts 6 Reaction score 0 Feb 25, 2015 #1 Kwa yeyote anaefahamu chuo cha uongozi wa mahakama ( institute of judicial administration) kilichopo lushoto tanga anfahamishe zaid kuhusu chuo hiko knauwezo wa kupokea watu wa aina gan kwa ngazi ya certificate
Kwa yeyote anaefahamu chuo cha uongozi wa mahakama ( institute of judicial administration) kilichopo lushoto tanga anfahamishe zaid kuhusu chuo hiko knauwezo wa kupokea watu wa aina gan kwa ngazi ya certificate
D Dunia Tabu Member Joined Jun 25, 2014 Posts 53 Reaction score 16 Feb 27, 2015 #2 Ingia ktk website yao ya www.ija.go.tz wameeleza sifa za anayetaka kujiunga na hicho chuo. ukiingia hapo download form
Ingia ktk website yao ya www.ija.go.tz wameeleza sifa za anayetaka kujiunga na hicho chuo. ukiingia hapo download form