Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka

Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka

Status
Not open for further replies.

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka hasa mchele kwenye maneno husika kama mbeya, kahama, mwanza.

Kipi nianze nacho kwa mgeni wa maneneo hayo
 
Hata fursa ya kujitolea kwa udalali aka kazi za mashineni
 
Unatakiwa upate Connection kwanza kati ya wa watu wa ma shambani, wauzaji wa Jumla, wateja wa Jumla n.k pia inategemea unafanya udalali wa aina gani wa kulangua au wa kutafuta masoko na wateja
 
Unatakiwa upate Connection kwanza kati ya wa watu wa ma shambani, wauzaji wa Jumla, wateja wa Jumla n.k pia inategemea unafanya udalali wa aina gani wa kulangua au wa kutafuta masoko na wateja
Niwe nyoka wa dalali kwanza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom