thatone
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 365
- 196
Habar wapendwa....nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne lakin toka amalize shule katokewa na mapele usoni mpka anatia huruma sasa anataka kutumia nai beauty lotion kwa anaeifahamu hii losheni je ni kweli inatibu kamainavyotangazwa au ni biashara tu. Asanteni