Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

Umenikumbusha mbalii enzi hizo nasoma mtwara girl's c mchezo
Hakika tuliwafaidi watoto wa mtwara girls maana wakiruhusiwa kuja town walikuwa wana pagawa nataman kuludi mtwara kiyangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni watu wapi wanaolia kua Magu kabana....ni hawa hawa wanaospend their dough kusafiria papuchi aunauliza tu....

Sema i thank God nimeumbwa na papuchi...its power is way beyond u could possibly imagine..

Wasalimie Ntwara nkuu[emoji28]
Hongera kwa kuwa na papuchi mkuu
 
Mahondaw ulitaka atoe sifa kidogo au[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnapenda sana kusifiwa eh

Aende kimya kimya bana mambo ya kutangazia umma huku ndo anaharibu mwanaume. Aende akute mambo ndivo sivo pozi zote zimuishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…