Naianza Safari Ya Kuonana Na Binti Wa Kimakonde Mtwara, WanaJF wa Mtwara Mnipokee!!

>> MTWARA kuubwa sana kama anaishi manispaaaa shukia mnarani utanikuta nalamba BALIMI bariiiiiiiiiiiiiiidi na supu ya KASA >>KARIBU sana
Bila shaka hapo mnarani unaongelea ile club ya fire canteen. Jioni kuna matukio pale wacha kabisa. Ukishuka chini kidogo baada ya viwanja vya mashujaa kuna Jojos club hapo ndiyo hatari tupu.

Nimepakumbuka sana Ntwara, nitarudi siku moja
 
Sema upo wapi nkupitie mkuu,
 
Nimekaa MTWARA almost mwaka mmoja,nilikuwa maeneo ya shanghani,mabinti/wanawake wa MTWARA ni maji mara1,unaweza ukawa na miadi na mwingine ukapata mwingine wa ziada, nikiwa na maana anakuja na mwenzake, pia hawana wivu kivile, so unaweza kwenda kwa miadi na huyo manzi ukishuka stand kuu unaweza pata mtu mwingine mkuu,
 
We ni miongoni mwa watafiti? Maana umeambiwa wanakata mauno unaenda kuhakikisha ila angalia usije kujikuta umeuza hadi mifugo ya babu yako
 
Daaah kama wairaki vile hawana roho mbaya kabisa, unaweza kula mama na binti zake zote kiroho safi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…