naibiwa?

stk

Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Salaam!
Najiuliza sana jamani kila nikiraise issue ambayo naona ni yakudiscuss kimahusiano najiwa juuu nasusiwa!ila sijampa game wiki sasa? Je hio ndo sababu au ndo sina changu hapo?wadau naomba mawazo yenu
 
sasa mkuu kama hujampa grmu, sisi tutajuaje sababu, unazo mwenyewe then unauliza, dah!!
 
Sifa kuu ya mwongo ni kuja juu panapokuwa na a logic issue Ambayo unamweleZa, hatataka muongelee, achana naye, ila nyie vidume vya kizazi hiki cha Lulu Kama kaka yenu Kanumba, hamsikilizagi wala Hamna Msimamo nisipoteze mda wangu.

Salaam!
Najiuliza sana jamani kila nikiraise issue ambayo naona ni yakudiscuss kimahusiano najiwa juuu nasusiwa!ila sijampa game wiki sasa? Je hio ndo sababu au ndo sina changu hapo?wadau naomba mawazo yenu
 
Salaam!
Najiuliza sana jamani kila nikiraise issue ambayo naona ni yakudiscuss kimahusiano najiwa juuu nasusiwa!ila sijampa game wiki sasa? Je hio ndo sababu au ndo sina changu hapo?wadau naomba mawazo yenu
Yupo humu ndani ya jf,kama yupo nipe ID yake nimuulize why akutende bwana kha!
 
Kwa kumnyima game, naye nafikiri anahisi anaibiwa. Kwani anaona labda unapata sehemu nyingine. Sasa nani mkweli hapo?
 
Ulivokua unampa hakua hivyo alivyo sasa??
 
Wewe ni ke au me?

Kama wewe ni me, huibiwi ila unasaidiwa tu.
 
Mwanamke mjinga huiharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, yaani kinachowafanya mfurahiane ktk mapenzi wewe ndo unakificha! wautaka ukimwi wewe, hujui sisi wanaume ni watoto wakubwa?. Issue kama hii ulipaswa um-PM AshaDii mapemaaaaaaa, shida zako zingekuwa zimeisha zamaaaaaaaani! Saa hizi usikute pengine mngekuwa zenu bagamoyoooooo mnajisanua tu na king'asti wako hotelini roho zenu nyeupeeeeeeee miguno tu ya mahaba na mpenzio kila dk iendayo!
 
ndio waibiwa we wazani kumnyima mchezo ndo utatuzi mpe 24/7 ndo utajua ka unaibiwa au lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…