Naibu Imamu auwawa katika vurugu za kidini nchini India

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Naibu Imamu ameuawa baada ya kundi la Wahindu wenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuteketeza na kufyatua risasi msikiti mmoja katika kitongoji cha mji mkuu wa India, New Delhi, saa chache baada ya ghasia mbaya za kijamii katika wilaya jirani.

Polisi wamemtaja mwathiriwa kuwa ni Maulana Saad mwenye umri wa miaka 19, kiongozi wa sala wa msikiti wa Anjuman Jama ulioko katika Sekta ya 57 huko Gurugram, jiji la watu milioni 1.2 linalojulikana kwa minara yake ya kumeta na ofisi za mashirika ya kimataifa.

Wahindu wanaenda vizuri sana na hawa watu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Sema nini wahindu na waislam huko India wana ufala sana
 
Back
Top Bottom