CUF Habari JF-Expert Member Joined Dec 12, 2019 Posts 239 Reaction score 234 Aug 22, 2020 #1 Naibu katibu mkuu CUF,mhe.Magdalena sakaya mapema hii Leo amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kaliua mkoani tabora.
Naibu katibu mkuu CUF,mhe.Magdalena sakaya mapema hii Leo amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kaliua mkoani tabora.