Wakuu,
Kampeni za mbogamboga dhidi ya Lissu zinaendelea kupamba moto.
Akiwa anazungumza hivi karibuni Gerald Mandago ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Organization inayojiita Mama Asemewe, amesema kuwa watu wote wanaohamasisha uasi ndani ya nchi wanatakiwa kushughulikiwa.
View attachment 3315032